Dkt.Kiruswa awaeleza ukweli wananchi kuhusu Sheria ya Fidia Maeneo ya Uwekezaji

 Naibu Waziri wa Madini,Dkt.Steven Kiruswa amewaeleza wananchi wa Sengerema kuhusu Sheria ya Fidia Maeneo ya Uwekezaji nchini.

"Fidia unayolipwa inaendana na thamani ya eneo ulilopo, siyo thamani ya eneo unalotaka kuhamia, leo ukifidiwa ukiamua kwenda kununua eneo ambalo heka ni shilingi milioni 20 hiyo ni juu yako, ukiamua kwenda kununua eneo ambalo ardhi thamani yake ni laki moja hiyo ni juu yako, kwa sababu sheria ndiyo inayotuongoza tusimamie fidia kwa haki na uhalali wote kulingana na eneo ambalo linafanyiwa tathimini..

Post a Comment

0 Comments