Wizara ya Madini kuutangaza Mgodi wa Nyakavangala

 NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kufanya Utafiti katika eneo la mgodi wa Nyakavangala ili kujua muelekeo wa mwamba na kiwango cha madini yaliyopo katika eneo hilo.

Post a Comment

0 Comments