'Kuhesabiwa ni haki yangu, nitawajibika'


Mmoja wa wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Mwembeni 'A' Manispaa ya Musoma mkoani Mara akiwa ameshika bango linalotoa ujumbe mahususi kuhusu utunzaji wa mazingira na maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi Agosti 23,2022. Ni katika zoezi la upandaji wa miti katika Shule ya Msingi Mwembeni 'A' na 'B' zilizopo Manispaa ya Musomawa lililoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Health Environment Community Empowerment and Development in Tanzania (HECEDET) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church-Tanzania (Bonde la Baraka) nchini lenye Makao Makuu yake Kigera Bondeni Manispaa ya Musoma Mkoa wa Mara, Daniel Ouma.

Post a Comment

0 Comments