🔴LIVE:Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Mradi wa Maji wa Bilioni 15.7/- wa Kyaka-Bunazi

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizindua Mradi wa Maji wa Bilioni 15.7 wa Kyaka-Bunazi wilayani Missenyi Mkoa wa Kagera.Fedha zote zinatoka Serikali Kuu.

Mradi huu unatarajiwa kuwanufaisha zaidi ya wananchi 65,000 unatajwa kuwa wa kwanza wa aina yake kutumia chanzo cha maji cha Mto Kagera.

Huu ni mto ambao una historia ndefu ambao pia ndiyo chimbuko la jina la Mkoa wa Kagera, ambao hutiririsha maji yake kutoka Rwanda kupitia Kaskazini na kumwaga maji yake katika Ziwa Victoria.

Post a Comment

0 Comments