Mpenzi wangu alinitapeli Milioni 5.7/- ila amezirudisha mwenyewe

NA MWANDISHI WETU

NAITWA Amida, msichana wa miaka 26, mkazi wa Tanga, Tanzania, nilikutana na huyu kijana ofisi yetu iliipa tenda ofisi yao, mimi ndio bosi pale ofisini, tulijenga urafiki na mwisho wa siku tukaishia kuwa wapenzi tuliopenda sana.

Nakumbuka penzi lilienda vizuri hadi ikafika hatua tukakubaliana kutambulishana kwa wazazi, alinitambulisha kwa kaka yake ambaye alidai ndio mlezi wake kwa sababu yeye ni yatima.

Niliwaandaa familia yangu kuupokea ugeni, na kweli alikuja na jopo la watu, akatoa posa, na majibu ya posa yalirudishwa kuwa amepokelewa hivyo taratibu nyingine ziendelee.

Sasa wakati tunasubiria walete mahari, yule kijana akaanza kuniomba vitu vingi akidai amekwama, nilimsaidia kwa sababu nilikuwa najua ni kwa ajili yetu sote, akaniomba nimkopeshe shilingi milioni 5.7, nikampatia kwa upendo.

Ila siku zilizidi kukatika bila lolote kuendelea, miezi ilienda hadi mwaka ukaisha, nilipofuatilia nikagundua nilichezewa mchezo, na hata watu aliowaleta aliwakodi tu, nia yake ilikuwa kuchuma vitu kutoka kwangu na kweli alifaidi sana fedha zangu.

Nilibakiwa na mawazo sana, kuna siku nilikuwa natembelea mitandao ya kijamii ili kupunguza msongo wa mawazo, ndipo nikakutana na kijana mmoja Facebook akieleza jinsi Dr. Kiwanga alipomsaidia baada ya kutapeliwa fedha zake, nilimuomba yule kijana namba ya Dr. Kiwanga.

Niliwasiliana na Dr. Kiwanga kesho yake na kumueleza shida yangu, akanihakikishia kuwa ndani ya siku tatu fedha zangu zitarudi zote, basi kesho yake niliona watu wanne wakiongozana na yule mpenzi wangu.

Tuliwapokea vizuri sana katika familia, ndipo yule mpenzi wangu aliniomba msamaha na kunikabidhi fedha zangu zote.

Sikutaka kuongea naye mambo mengi, nilimwacha hapo akiongea na wazazi wangu nikaenda zangu chumbani, baada ya muda aliondoka zake na rafiki zangu na tangu hapo sina hamu tena na mahusiano ila kamwe siwezi kumsahau Dr. Kiwanga.

Dr. Kiwanga ana wezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara na mengineo.
Kumbuka Dr. Kiwanga pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news