Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumbura-Uvinza-Kindu wakaribia

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa DRC Congo Cherubi Senga na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa Burundi, Marie Nijimbe katika picha ya pamoja na watendaji mara baada ya kusaini ripoti ya watalam ya Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye Jumla ya Kilomita 939, mjini Kinshasa.
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi (kushoto) akiwa na Makatibu wa Wizara zinazosimamia Uchukuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi wakisaini ripoti ya Wataalam ya Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye jumla ya Kilomita 939, mjini Kinshasa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (kulia) akiwa na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa DRC Congo Cherubi Senga (katikati) na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa Burundi, Marie Nijimbe (kushoto) wakionyesha taarifa ya watalam ya Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye Jumla ya Kilomita 939, uliofanyika mjini Kinshasa mara baada ya Mawaziri hao kuisaini mjini Kinshasa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akizungumza katika mkutano uliwakutanisha Mawaziri wanaosimamia Uchukuzi wa Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Makatibu Wakuu na Wataalam wa nchi hizo (hawapo pichani) kujadili na kusaini ripoti ya Wataalam ya Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye Jumla ya Kilomita 939, mjini Kinshasa.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news