Mwenyekiti CCM Taifa, Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili Ukumbini kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM ) leo Juni 21, 2022, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Waliosimama kumlaki ni Wajumbe wa Kamati Kuu hiyo ya Taifa ya CCM.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Juni 21, 2022, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Juni 21, 2022, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Dk. Hussein Mwinyi na Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments