Namna tulivyoweza kumtoa ndugu yetu Gerezani katika kipindi kigumu

NA MWANDISHI WETU

NAITWA Sudi wa Nairobi nchini Kenya, kuna mdogo wangu aliondoka nyumbani kwenda Afrika Kusini kutafuta maisha, kwa bahati mbaya mambo hayakwenda kama alivyotarajia.

Na janga la UVIKO-19 lilivyokuja, likafanya mambo yazidi kuwa magumu na mipaka ikawa imefungwa.

Hali ilizidi kuwa mbaya akawa anataka aondoke kule, akachukua maamuzi ya kuondoka South Africa kwa njia za panya kwa kutumia usafiri wa gari.

Hatukuwa na mawasiliano kwa muda hadi siku moja napokea voice note Whatsapp kwa namba ngeni ambayo sio ya Kenya ananieleza kwamba alikamatwa mpakani Zambia akiwa ndiyo anajaribu kuingia Tanzania na hapo alipo yuko gerezani.

Ameomba tu simu kwa mmoja wa maaskari pale aweze kutoa taarifa, inatakiwa alipiwe dhamana ndiyo atolewe mle ndani, kiasi kilichohitajika kwa kweli ni kingi, na uwezo wa familia ni mdogo.

Ikabidi kuanza kuchangishana kama familia, tukapata Mkenya ambaye yuko Zambia atusaidie malipo ya kumtoa ndani, siku zinaenda bado hatuambiwi lolote.

Akawa kila akituma voice note analia, anatuomba tukamtoe kwa sababu hali ni mbaya sana pia anaumwa.

Kwa kweli zile voice note zilikuwa zinamfanya mama yetu hata usingizi hapati, katika ufuatiliaji, kumbe tuliyemtumia pesa, naye alimtumia mtu mwingine pesa ambaye nae akamtuma mtu mwingine akalipe hiyo fine, na risiti ambayo inatakiwa ikathibitishe kwamba pesa imelipwa atoke, imepotea.

Kwa kweli tulichanganyikiwa hatukujua cha kufanya tulishajikomba hadi senti ya mwisho kwa ajili ya kumtoa ndani, na yeye kila tukiongea nae analia tu anatuambia anateseka. Hatukuwa tena na jinsi maana pale nyumbani hapakuwa tena na fedha yoyote ile wale hakuna sehemu ya kukopa.
Siku moja nikiwa kwenye mitandao ya kijamii nikasoma sehemu kuwa kuna mtu anaitwa Dr. Kiwanga, amekuwa akiwasaidia watu wenye sida na taabu mbalimbali. Nilijaribu kutafuta namba yake hadi nilipoweza kuipata kupitia tovuti yake, nilichukua ambayo ni +254769404965 na kuwasiliana naye.

Alinihakikishia ndani ya muda mfupi tutapa majibu ya shida yetu, basi ndani siku kama tatu hivi nikapokea voice note toka kwa yule ndugu yangu akiniambia kuwa ameachiwa huru na sasa anaendelea na safari kuja nyumbani. Nashukuru alifika na akajumuika na familia na sasa anaendelea vizuri.

Kumbuka Dr. Kiwanga anatibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo, pia anasuluhisha shida za kifamilia kama kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika michezo ya kamari na mengineyo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dr. Kiwanga kwa namba +254769404965, barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti yake ambayo ni www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news