PICHA:Maadhimisho Miaka 56 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)


Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo Juni 18, 2022 imeadhimisha miaka 56 tangu kuanzishwa kwake tarehe 14 Juni, 1966, ambapo wafanyakazi wa BoT wameshiriki matembezi kuanzia Ofisi za Makao Makuu Ndogo Dar es Salaam mpaka Daraja la Tanzanite.(Picha na BoT).

Post a Comment

0 Comments