🔴LIVE:Mjadala wa Kitaifa ukiangazia Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum leo Juni 18, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.

Mada:Mjadala wa Kitaifa juu ya Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023
 
Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/39sUi7G

Au kupitia
Meeting ID: 838 8862 4578
Passcode: 561944

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Post a Comment

0 Comments