Rais Samia amteua Tuma Daniel Abdallah kuwa Mhariri Mkuu wa Mgazeti ya Serikali

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 28, 2022 amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi kadhaa akiwemo Tuma Daniel Abdallah ambaye Rais amemteua kuwa Mhariri Mkuu wa Mgazeti ya Serikali (Tanzania Standard Newspapers-TSN)
Tuma Daniel Abdallah.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus imesema, kabla ya uteuzi huo Tuma alikuwa Kaimu Mhariri Mkuu wa Magazeti hayo.

Post a Comment

0 Comments