Serikali yakihakikishia kiwanda cha Kagera Sugar mazingira wezeshi ya uzalishaji wa sukari

NA DIRAMAKINI

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdalah amekihakikisia kiwanda cha uzalishaji wa sukari cha Kagera Sugar kuwa Serikali itahakikisha inatengeneza mazingira rafiki ya kuweza kukua na kufanya biashara na uzalishaji wa sukari.
Dkt.Hashil ameyasema hayo wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Biashara Viwanda na Mazingira kwenye kiwanda hicho pamoja na mashamba yake yaliyopo mkoani Kagera hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments