TANESCO yakamilisha zoezi la majaribio Mfumo wa Manunuzi ya Umeme wa Malipo kabla ya Matumizi (LUKU) katika Kituo cha Kujikinga na Majanga

NA DIRAMAKINI

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limesema kuwa, limekamilisha mfumo wa majaribio wa LUKU kwenye Kituo cha Kujikinga na Majanga (Disaster Recovery).

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Juni 14, 2022 na Ofisi ya Uhusiano ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) makao makuu jijini Dodoma.

"Huduma ya LUKU imekuwa ikifanya kazi kutoka kwenye kituo cha kujikinga na majanga tangu Juni 9, 2022, katika kipindi hicho, pamoja na kuhudumia wateja tumeweza kurekebisha mapungufu kwenye mfumo huu mpya,"imeeleza taarifa hiyo.Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news