Waziri Mhagama:Utumishi itasimamia ulipwaji posho za watumishi

NA DIRAMAKINI

WAZIRI, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Jenista Joackim Mhagama amesema, ofisi yake itahakikisha inasimamia ulipwaji wa posho za watumishi zilizoidhinishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan;

 

Post a Comment

0 Comments