Lile jambo la Wanadiplomasia ni kesho saa 10 kamili jioni, usikose

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika Julai 9, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za kusini mwa Afrika (SADC)

Muda ukifika (Saa 10 kamili, Julai 9, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3yeV2pe

Au kupitia
Meeting ID: 819 6524 3784
Passcode: 635753

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, M.B.I Online TV, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, Lango la Habari, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania-TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments