🔴LIVE:Dakika 150 zikiangazia fursa zilizopo Mashariki ya Kati na Asia,ungana na Wanadiplomasia

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum unaofanyika leo Julai 23, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni kwa njia ya ZOOM.

Mada: Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Mashariki ya Kati na Asia kwa ujumla.

Unaweza kushiriki mkutano huu maalum moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3PyIr7g

Au kupitia
Meeting ID: 849 9381 4897
Passcode: 078241

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na  Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania.

Post a Comment

0 Comments