Mbinu ya kuwasaidia watoto kufaulu mitihani yao

NA MWANDISHI WETU

NAITWA Mama Judi, nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi, nawapenda sana watoto wangu wote na nimekuwa nikihakisha kuwa wanapata kila mahitaji hasa ya shuleni.

Mimi ni mfanyabiashara mdogo pembezoni mwa jiji nikifanya kazi ya Mama Lishe, huwa narejea nyumbani usiku sana nikiwa nimechoka na muda mwingine huwa nawakuta watoto wamelala.

Dada wa kazi ndiye huwa ananisaidia kila kitu, kuanzia kuwaandalia chakula, kuwapikia, baadhi ya kazi walizopewa shuleni (home work) na kuhakikisha wamelala vizuri.

Baba yao anaishi mkoa mwingine na huwa anakuja mara moja kwa mwezi, kutokana na ubize wetu sisi kama wazazi tulishindwa kujua maendeleo ya watoto wetu shuleni.

Siku moja nilipigiwa simu na Mwalimu aliyejitambulisha kwa jina la Jackson na kunieleza mtoto wangu wa tatu, Naomi amekuwa hafanyi vizuri katika masomo yake na wamejitahidi wao kama walimu kwa kutumia kila mbinu ila wameshindwa.

Niliporejea nyumbani nilimuuliza dada wa kazi kuhusu Naomi na kweli aliniambia amekuwa akijitahidi sana kumfundisha, lakini amekuwa ni mzito sana katika kuelewa.

Nilikagua madaftari yake na mitihani yake ya hivi karibuni na kubaini kuwa hakuwa na wakati mzuri wa kimasomo kwani amekuwa akifeli sana.

Tulijaribu kumpeleka Tution eneo la jirani ili aweze kujifunza zaidi pindi anaporudi shuleni, lakini hakuweza kuelewa chochote hadi Mwalimu wa Tution aliniambia tutafute njia mbadala ya kumsaidia.

Jambo hilo lilinipa sana mawazo, nikiwa nimetulia nyumbani, Dada wa kazi alikuja na kuniambia kuna mtoto wa Bosi wake wa zamani alikuwa na tatizo kama hilo, lakini alipona baada ya kupata tiba toka wa Dr. Kiwanga, nilimuomba anitafutie mara moja mawasiliano ya Dr. Kiwanga.

Basi alimpigia simu Bosi wake huyo wa zamani lakini akawa hapatikani. Niliamua kuingia kwenye mtandaoni na kupata tovuti ya Dr. Kiwanga ambayo ni www.kiwangadoctors.com, nilisoma kwa makini huduma zake hadi pale nipokutana na namba yake ambao ni +254 769404965.

Nilimpigia Dr. Kiwanga pale pale, nashukuru alipokea na kunisikiliza kwa makini wakati nikimueleza shida ya mtoto wangu, Naomi.

Dr. Kiwanga alinihakikishia kuwa mtoto wangu ataanza kufaulu masomo yake, nilimwambia nitafurahi sana maana nimeangaika sana na kutumia kila jitihada ili kuhakikisha anafaulu.

Baada ya muda kidogo mtoto wangu, Naomi alianza kufanya vizuri katika masomo yake,Dada wa kazi aliniambia hata yeye anaona maendeleo.

Niliyatazama tena madaftari yake na kuona anaendelea vizuri na amekuwa akipata alama nzuri kwa kila 'home work' anayopewa na walimu wake.

Katika mitihadi ya hivi karibuni Naomi amekuwa mtoto wa tano kimasomo kati ya wanafunzi 123, hadi Mwalimu wake alinipigia simu na kushangaa maana mitihani iliyopita alikamata nafasi ya 118.

Asante sana Dr. Kiwanga kwa tiba yako hii. Ukiachana na hilo, Dr. Kiwanga anaweza kukufanya kushinda bahati nasibu, kukupa mvuto wa kibiashara na mapenzi, kuwathibiti adui zako, kushinda kesi mahakamani, kubaini anayechepuka na mume au mke wako.

Kwa mawasiliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news