Mheshimiwa Zitto Kabwe, Tundu Lissu baada ya kikao cha viongozi nchini Italia

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mheshimiwa Zitto Kabwe akiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mheshimiwa Tundu Lissu baada ya kikao cha viongozi mbalimbali wanaokutana Lake Como, nchini Italia kwenye majadiliano (retreat) kuhusu Ujenzi wa Amani Afrika na Dunia kwa ujumla.

Post a Comment

0 Comments