Nipo tayari kuhesabiwa, nawe jiandae kuhesabiwa Agosti 23-Spika Dkt.Tulia Ackson


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), anawahimiza Wananchi wote kujitokeza katika zoezi la Sensa ya Watu na makazi itakayofanyika Agosti 23, 2022 kote nchini.

Post a Comment

0 Comments