Picha 13 za Rais Samia katika 'IDA 20 Summit for Africa' nchini Senegal

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine Wakuu wa nchi mbalimbali Barani Afrika mara baada ya Mkutano wa Wakuu hao wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa nchi mbalimbali wa Afrika katika Mkutano wa faragha wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.(Picha zote na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news