Spika Dkt.Tulia akichangia mada katika Mkutano wa 51 wa SADC-PF


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akichangia mada kuhusu mwelekeo wa upatikanaji wa nishati ya uhakika, endelevu na inayojitosheleza katika Ukanda wa Kusini mwa Afrika wakati wa Mkutano wa 51 wa SADC-PF Lilongwe nchini Malawi.


Post a Comment

0 Comments