'Mama yetu Samia anaendeleaje? Anaendelea vema Mheshimiwa Rais, vema karibu sana Malawi'
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC - PF) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi, Julai 11, 2022.

Post a Comment

0 Comments