Waziri Dkt.Biteko ataja vipaumbele vya wizara

"Mwaka 2021 Sekta ya Madini iliendelea kuifungua nchi yetu kiuchumi kwa kuchangia asilimia 45.9 ya thamani ya bidhaa zilizouzwa nje ya nchi na kuliingizia Taifa dola za Marekani milioni 3,103.20, huku kasi ya ukuaji wa sekta mwaka 2021 ilikuwa na kufikia asilimia 9.6 ikilinganishwa na asilimia 6.7 mwaka 2020 na kuwa ya tatu miongoni mwa sekta nyingine kutokana na ongezeko la uwekezaji,"Waziri wa Madini Dkt.Doto Biteko;

Post a Comment

0 Comments