Waziri Ndalichako akutana na viongozi wa vyama vilivyopo chini ya TUCTA

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), ambapo wameongozwa na rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akieleza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Adam Katundu akifafanua Jamabo wakati wa cha Ofisi hiyo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
Baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), wakifuatilia kikao chao na Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
Katibu Mkuu TUCTA, Henry Mkunda, akieleza jambo wakati wa kikao cha Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

Kikao hicho ni mwendelezo wa Serikali katika kuendelea kushirikiana na TUCTA katika kustawisha maslahi ya wafanyakazi husasni wa sekta Binafsi nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news