Yanga SC yamrejesha Bernad Morrison

 
Siku chache baada ya Bernard Morrison kurejea jijini Dar es Salaam huku akitoa ujumbe maalum uliosomeka, "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za Simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.

"Hii ni kutokana na nyinyi mashabiki kuniaga kwa sababu nitakatishwa tamaa ikiwa nitaendelea kusubiri kupata moja kutoka kwa klabu yangu. Tafadhali andika jina lako nyuma na namba 3. Anyone interested can bring to me at sea breeze mbezi beach and call me 0745460326. Nimefika Dar❤️ I WILL ALWAYS LOVE YOU ALL THOUGH.".

Baada ya ujumbe huo, watani wa jadi Yanga wameamua kumyatia.

Post a Comment

0 Comments