BREAKING NEWS:Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Muheza,Nassib Bakari Mmbaga asimamishwa kazi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Mheshimiwa Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga,Nassib Bakari Mmbaga kwa utendaji kazi usioridhisha.Post a Comment

0 Comments