TANESCO:Umeme umerejea maeneo yaliyoathiriwa

NA DIRAMAKINI

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limesema kuwa, limefanikiwa kurejesha huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo yaliyokuwa yameathiriwa baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye moja ya mitambo yao ya kuzalisha umeme kwenye Bwawa la Mtera.


Post a Comment

0 Comments