Hii hapa anuani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Indonesia

JAKARTA-Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Macocha Tembele nchini Jamhuri ya Indonesia leo Agosti 24, 2022 amewapa Watanzania anuani ya ubalozi mpya wa Tanzania nchini Indonesia kama ifuatavyo;

"Napenda kuwajulisha Watanzania wote mnaoishi Indonesia kuwa anuani ya Ubalozi wenu ni;
Jl. Iskandarsyah II No. 89A,
RW.01, Kelurahan Melawai, Kecamatan Kebayoran Baru, Kotamadya Jakarta Selatan, Prov. DKI Jakarta, Kode Pos (postal code) 12160
Phone: 021-7202410 Karibuni sana,"ameeleza Balozi Tembele.


Post a Comment

0 Comments