Rais Samia ateta na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti na uzalishaji wa Mafuta na Gesi kimataifa, Bw. Al Cook mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Agosti 24, 2022.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news