JUMATANO IJAYO:Wanadiplomasia watakushirikisha fursa za kiuchumi zinazopatikana Bara la Ulaya

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika Agosti 10, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana
Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana Bara la Ulaya

Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Agosti 10, 2022 - Jumatano) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3blWTkR

Au kupitia
Meeting ID: 865 3457 1971
Passcode: 651869

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NMB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news