Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Prof.Shemdoe ahesabiwa na familia yake Boko jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi wakati akihesabiwa nyumbani kwake maeneo ya Boko Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Agosti 23, 2022.

Post a Comment

0 Comments