🔴LIVE:Dakika 150 wadau wanaziangazia timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2022/23

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum unaofanyika leo Agosti 16, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada:Tathmini na matarajio ya wadau wa soka juu ya mwenendo wa usajili wa wachezaji kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2022/2023
 
Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3zQpSVU

Au kupitia
Meeting ID: 810 4018 2983
Passcode: 574809

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online,Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments