Rais Dkt.Mwinyi ashuhudia makabidhiano ya 'Data' za utafutaji mafuta, gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini na makabidhiano ya data za utafutaji wa mafuta na gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa na Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT, Mhe.Januari Yussuf Makamba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakibadilishana hati za utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa na Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) akipokea data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakati wa Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi na watendaji waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.
Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishudia utiaji wa saini makabidhiano hayo hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba (kulia) alipokuwa akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini huo.
Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishudia utiaji wa saini makabidhiano hayo hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.
Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza katika hafla ya utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akimsikiliza Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa na akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments