Rais Dkt.Mwinyi azindua Kampeni ya Uzazi ni Maisha Zanzibar, aongoza matembezi ya kilomita tano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akianzisha Mbio fupi za kilomita 10 pamoja na matembezi ya kilomita tano kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman jijini Zanzibar mpaka Uwanja wa Amaan Studium,zilizoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo viongozi mbalimbali wameshiriki katika matembezi hayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya kilomita 5 yaliyofayika leo kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman jijini Zanzibar hadi uwanja wa Amaan Studium ikiwa ni kampeni ya “Uzazi ni Maisha”yaliyoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo viongozi mbalimbali wameshiriki katika matembezi hayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya kilomita tano yaliyofayika leo kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman jijini Zanzibar hadi uwanja wa Amaan Studium ikiwa ni kampeni ya “Uzazi ni Maisha”yaliyoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo viongozi mbalimbali wameshiriki katika matembezi hayo. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments