Spika Dkt.Tulia afungua Mkutano wa Tano wa uongozi wa Wanawake Wahasibu Tanzania
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amefungua Mkutano wa Tano wa uongozi wa Wanawake Wahasibu Tanzania uliofanyika Ledger Plaza, Bahari Beach Hotel jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Agosti, 2022. (Picha na Bunge).

Post a Comment

0 Comments