TFF yavifungia viwanja vitano kuelekea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara

NA DIRAMAKINI

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha viwanja vitano kwa matumizi ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, ukiwemo wa Mkwakwani jijini Tanga ambao hutumiwa na klabu ya Coastal Union.
Uwanja mwingine ni Nyankumbu Girls (Geita), Jamhuri (Dodoma),Ushirika (Moshi) na Mabatini (Pwani).

Post a Comment

0 Comments