Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 25,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.78 na kuuzwa kwa shilingi 16.95 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.98 na kuuzwa kwa shilingi 337.25.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.39 na kuuzwa kwa shilingi 630.61 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.16 na kuuzwa kwa shilingi 148.47.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 25, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.36 na kuuzwa kwa shilingi 2316.29 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7451.77 na kuuzwa kwa shilingi 7523.84.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2278.68 na kuuzwa kwa shilingi 2302.39.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 215.38 na kuuzwa kwa shilingi 217.47 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.06 na kuuzwa kwa shilingi 136.29.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.74 na kuuzwa kwa shilingi 29.01 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.15 na kuuzwa kwa shilingi 19.31.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.95 na kuuzwa kwa shilingi 10.53.

Aidha,Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2703.18 na kuuzwa kwa shilingi 2731.14 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 25th, 2022 according to Central Bank (BoT);
 
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.3994 630.609 627.5042 25-Aug-22
2 ATS 147.1647 148.4687 147.8167 25-Aug-22
3 AUD 1583.104 1599.3983 1591.2511 25-Aug-22
4 BEF 50.1993 50.6437 50.4215 25-Aug-22
5 BIF 2.1958 2.2123 2.204 25-Aug-22
6 CAD 1765.6143 1782.7215 1774.1679 25-Aug-22
7 CHF 2379.0005 2401.7939 2390.3972 25-Aug-22
8 CNY 333.9872 337.2534 335.6203 25-Aug-22
9 DEM 918.9231 1044.5502 981.7367 25-Aug-22
10 DKK 306.4387 309.4617 307.9502 25-Aug-22
11 ESP 12.1709 12.2782 12.2246 25-Aug-22
12 EUR 2278.6789 2302.3923 2290.5356 25-Aug-22
13 FIM 340.584 343.602 342.093 25-Aug-22
14 FRF 308.7157 311.4465 310.0811 25-Aug-22
15 GBP 2703.1792 2731.1376 2717.1584 25-Aug-22
16 HKD 292.2702 295.1854 293.7278 25-Aug-22
17 INR 28.7395 29.0069 28.8732 25-Aug-22
18 ITL 1.0458 1.0551 1.0505 25-Aug-22
19 JPY 16.7852 16.9493 16.8672 25-Aug-22
20 KES 19.1512 19.3105 19.2308 25-Aug-22
21 KRW 1.7101 1.7261 1.7181 25-Aug-22
22 KWD 7451.769 7523.842 7487.8055 25-Aug-22
23 MWK 2.0875 2.2257 2.1566 25-Aug-22
24 MYR 511.4532 516.2224 513.8378 25-Aug-22
25 MZM 35.3368 35.6352 35.486 25-Aug-22
26 NLG 918.9231 927.0722 922.9977 25-Aug-22
27 NOK 236.5089 238.7731 237.641 25-Aug-22
28 NZD 1417.753 1432.857 1425.305 25-Aug-22
29 PKR 9.9484 10.5286 10.2385 25-Aug-22
30 RWF 2.1797 2.2315 2.2056 25-Aug-22
31 SAR 610.341 616.0346 613.1878 25-Aug-22
32 SDR 2986.5464 3016.4118 3001.4791 25-Aug-22
33 SEK 215.3791 217.4716 216.4253 25-Aug-22
34 SGD 1644.4547 1660.3039 1652.3793 25-Aug-22
35 UGX 0.5789 0.6075 0.5932 25-Aug-22
36 USD 2293.3564 2316.29 2304.8232 25-Aug-22
37 GOLD 4003214.1934 4044427.6432 4023820.9183 25-Aug-22
38 ZAR 135.0654 136.2956 135.6805 25-Aug-22
39 ZMW 141.0201 143.1576 142.0888 25-Aug-22
40 ZWD 0.4292 0.4378 0.4335 25-Aug-22
 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news