Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 30,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 30, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2292.39 na kuuzwa kwa shilingi 2316.25.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2683.90 na kuuzwa kwa shilingi 2710.98 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.55 na kuuzwa kwa shilingi 16.72 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 331.29 na kuuzwa kwa shilingi 334.83.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.45 na kuuzwa kwa shilingi 630.66 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.17 na kuuzwa kwa shilingi 148.48

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.81 na kuuzwa kwa shilingi 10.39.

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.54 na kuuzwa kwa shilingi 2316.48 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7443.67 na kuuzwa kwa shilingi 7515.67.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 215.70 na kuuzwa kwa shilingi 217.81 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.75 na kuuzwa kwa shilingi 136.99.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.69 na kuuzwa kwa shilingi 28.97 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.13 na kuuzwa kwa shilingi 19.29.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 30th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.4506 630.6607 627.5557 30-Aug-22
2 ATS 147.1768 148.4809 147.8288 30-Aug-22
3 AUD 1576.5825 1592.58 1584.5813 30-Aug-22
4 BEF 50.2034 50.6478 50.4256 30-Aug-22
5 BIF 2.1959 2.2125 2.2042 30-Aug-22
6 BWP 179.1258 181.3804 180.2531 30-Aug-22
7 CAD 1758.179 1775.2165 1766.6978 30-Aug-22
8 CHF 2370.0987 2392.8107 2381.4547 30-Aug-22
9 CNY 331.5664 334.8289 333.1977 30-Aug-22
10 CUC 38.2916 43.5265 40.909 30-Aug-22
11 DEM 918.9985 1044.6359 981.8172 30-Aug-22
12 DKK 308.2514 311.3088 309.7801 30-Aug-22
13 DZD 16.4165 16.4231 16.4198 30-Aug-22
14 ESP 12.1719 12.2792 12.2256 30-Aug-22
15 EUR 2292.3978 2316.2484 2304.3231 30-Aug-22
16 FIM 340.6119 343.6302 342.1211 30-Aug-22
17 FRF 308.741 311.4721 310.1065 30-Aug-22
18 GBP 2683.9058 2710.9765 2697.4412 30-Aug-22
19 HKD 292.2569 295.1757 293.7163 30-Aug-22
20 INR 28.6901 28.9661 28.8281 30-Aug-22
21 ITL 1.0459 1.0552 1.0506 30-Aug-22
22 JPY 16.5539 16.717 16.6355 30-Aug-22
23 KES 19.1288 19.2879 19.2084 30-Aug-22
24 KRW 1.7004 1.7164 1.7084 30-Aug-22
25 KWD 7443.6731 7515.6706 7479.6719 30-Aug-22
26 MWK 2.0756 2.2354 2.1555 30-Aug-22
27 MYR 511.0393 515.6901 513.3647 30-Aug-22
28 MZM 35.3397 35.6382 35.4889 30-Aug-22
29 NAD 104.1396 104.9915 104.5655 30-Aug-22
30 NLG 918.9985 927.1483 923.0734 30-Aug-22
31 NOK 234.6769 236.9219 235.7994 30-Aug-22
32 NZD 1403.8786 1418.844 1411.3613 30-Aug-22
33 PKR 9.8147 10.3878 10.1013 30-Aug-22
34 QAR 737.3368 739.0885 738.2126 30-Aug-22
35 RWF 2.1882 2.2493 2.2188 30-Aug-22
36 SAR 610.765 616.7084 613.7367 30-Aug-22
37 SDR 2996.4472 3026.4116 3011.4294 30-Aug-22
38 SEK 215.7026 217.8085 216.7555 30-Aug-22
39 SGD 1642.5872 1658.4192 1650.5032 30-Aug-22
40 TRY 126.1576 127.3841 126.7708 30-Aug-22
41 UGX 0.5764 0.6048 0.5906 30-Aug-22
42 USD 2293.5446 2316.48 2305.0123 30-Aug-22
43 GOLD 3957889.5636 3999718.9195 3978804.2415 30-Aug-22
44 ZAR 135.7545 136.9904 136.3724 30-Aug-22
45 ZMK 141.9131 144.329 143.121 30-Aug-22
46 ZWD 0.4292 0.4379 0.4335 30-Aug-22






Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news