Waziri Mkuu akutana na viongozi mbalimbali jijini Tunis

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU),Mhe. Macky Sall pembezoni mwa Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD 8) unaoendelea katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Palais des Congres mjini Tunis,Tunisia, Agosti 28, 2022. Waziri Mkuu anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Sama Lukonde pembezoni mwa Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD 8) unaoendelea katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Palais des Congres mjini Tunis,Tunisia, Agosti 28, 2022. Waziri Mkuu anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments