Rais Dkt.Mwinyi amtembelea mwanasiasa na mfanyabiashara maarufu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakizungumza na Mwanasiasa na Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Raza Daramsi walipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo Agosti 28,2022 na kushoto kwa Rais ni mtoto wa Mhe.Raza, Hassan Mohammed Raza.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mwanasiasa na mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Raza Daramsi alipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments