WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WADAU WA SEKTA BINAFSI KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. George Simbachawene wakati alipohudhuria mkutano wa wadau wa Sekta binafsi juu ya ushiriki wao katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, 15 Agosti 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala na kulia ni Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara Anne Makinda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Bi. Annette Kanora ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Bi. Rukia Mtingwa Meneja Uhusiano wa kampuni ya MIC Tanzania wamiliki wa Makampuni ya simu ya Tigo na Zantel kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Benki ya Stanbic Bw. Kevin Wingfiel kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Sekta binafsi juu ya ushiriki wao katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, 15 Agosti, 2022, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news