Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia,Ali Jabir Mwadini atazungumza na wanahabari wote nchini leo

TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Balozi Ali Jabir Mwadini atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo Jumatano, Septemba 28, 2022, saa 5 kamili asubuhi kwa Saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Riyadh, Saudi Arabia.

Wanahabari wote wanakaribishwa. Jinsi ya Kushiriki;

Bofya https://bit.ly/3fpzQHs
Au tumia
Meeting ID: 850 7400 7277
Passcode: 315889

NB. Waandishi wa Habari tujiunge kwa kutumia majina ya vituo tunavyoviwakilisha, na tukumbuke muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie *MUDA*.

Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments