Magazeti leo Septemba 21,2026

Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imesajili vikundi 203 vikijumuisha wazee 11, wanawake 108, vijana 79 na watu wenye ulemavu watano.
Afisa maendeleo ya jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, AnnaMary Galibona ameeleza hayo mbele ya kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2026 Wazo Michael Mwang’onda akisoma taarifa ya usajili na ushiriki wa makundi maalumu kwenye mfumo wa ununuzi wa umma (PPRA).

Galibona ameeleza kwamba hadi kufikia Septemba mwaka 2026 vikundi hivyo vimeshasajiliwa na Halmashauri hiyo na wana mikakati ya kuongeza zabuni kwa makundi maalum.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here