DAKIKA CHACHE ZIJAZO, BALOZI NYAMANGA ATATUZUNGUMZA NA WANAHABARI

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ubelgiji,Mheshimiwa Jestas A. Nyamanga atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo Jumatano, Septemba 21, 2022, saa 5 kamili asubuhi kwa saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Brussels nchini Ubelgiji.

Jinsi ya Kushiriki:

Bofya https://bit.ly/3Bws5qz

Au tumia
Meeting ID: 828 7457 2432
Passcode: 435906

NB: Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie *MUDA*.

Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments