Kwa wanahabari wote Leo

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Balozi Dr. Abdallah Saleh Possi atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumatano, Septemba 14, 2022, saa 9 kamili Alasiri kwa Saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Berlin - Ujerumani.

Jinsi ya Kushiriki:

Bofya https://bit.ly/3eIaofV

Au tumia
Meeting ID: 829 5717 9809
Passcode: 859646

Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments