🔴LIVE:Balozi Ali Jabir Mwadini akizungumza na wanahabari nchini

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia,Mheshimiwa Ali Jabir Mwadini akizungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo Jumatano, Septemba 28, 2022, kuanzia saa 5 kamili asubuhi kwa saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Riyadh, Saudi Arabia.

Wanahabari wote wanakaribishwa. Shiriki kwa;
Kubofya https://bit.ly/3fpzQHs
Au tumia
Meeting ID: 850 7400 7277
Passcode: 315889

Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments