🔴LIVE:Hizi hapa fursa kutoka Lindi, Ruvuma na Mtwara

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum na muhimu unaofanyika leo Jumamosi ya Septemba 17, 2022 kuanzia saa tano kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Kusini ikijumuisha Mkoa wa Lindi, Ruvuma na Mtwara

Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3RA3RTa

Au kupitia
Meeting ID: 824 7596 0934
Passcode: 943996

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online,Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Aidha, mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments