Makamu wa Kwanza wa Rais ateta na Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA

NA MWANDISHI WETU

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman leo Septemba 21, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA), Bw. Ali Abdallah Ali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mkurugenzi Ali amefika ofisini kwa Makamu Migombani Mjini Zanzibar, kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana mawazo katika mambo mbalimbali.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news