Mzee wa Upako kuteta na wanahabari leo

Mchungaji Anthony Lusekelo, Mzee wa Upako, Chifu Mwantembe wa Kanisa la Gospel Revival Center Ubungo Kibangu atazungumza na wanahabari leo Septemba 3, 2022 kanisani kwake Ubungo Kibangu jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments