Ndejembi akagua jengo la ofisi ya TAKUKURU Kilimanjaro

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwasili kwa ajili ukaguzi katika jengo la ofisi ya TAKUKURU mkoani Kilimanjaro, linaoendelea kujengwa katika eneo la Shanti town Moshi kwa lengo la kuboresha mazingira ya utendaji kazi ya watumishi wa TAKUKURU mkoani humo. Alieongozana nae ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKURURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akipewa taarifa ya ujenzi wa ofisi za TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro na Mkurugenzi Mkuu wa TAKURURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni, mara baada ya kuwasili katika eneo Shanti town Moshi ambalo ofisi hizo zinajengwa.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika ukaguzi wa jengo la ofisi za TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro linaoendelea kujengwa katika eneo la Shanti town Moshi. Alieongozana nae ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKURURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akishuhudia moja ya miundombinu inayojengwa katika jengo la ofisi za TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambalo ujenzi wake unaendelea katika eneo la Shanti town Moshi. Alieongozana nae ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKURURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa TAKURURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni, wakati akikagua jengo la ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro linaloendelea kujengwa katika eneo Shanti town Moshi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news